Nenda kwa yaliyomo

Blandine Rasoanamary Voizy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Blandine Rasoanamary Voizy ni mwanasiasa wa Madagascar, Kama mwanachama wa Bunge la Madagascar, alichaguliwa akiwa ni mwanachama wa chama cha Tiako Madagasikara; anaashiria kiti cha pili cha uchaguzi cha Toamasina.[1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Blandine Rasoanamary Voizy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-04-19. Iliwekwa mnamo 2026-01-31.