Bitlis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 17:00, 9 Machi 2013 na Addbot (Majadiliano | michango) (Bot: Migrating 40 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q83531 (translate me))
Jump to navigation Jump to search

Bitlis (Kikurdi: Bilîs au Bedlîs kwa Kirmenia: Baghaghesh, baadaye waliita Baghesh) ni mji ulipo Mashariki ya nchi ya Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Bitlis. Kwa wingi wa watu Wakurdi wanaonekana kuwa na idadi kuwa ya watu, ambayo ilikuwa 65,169 (ikijumlisha na vijiji vilivyouzunguka mji huo) sensa ya mwaka wa 2000.

Jina la kiasili linaelezea jina la Bitlis, bila ya kuwa na historia ya misingi ya wali ya jina, ni kwamba linatokana na neno "Bedlis", ambalo ni jina la kamanda aliyemuriwa ajenge ngome ya Bitlis na Alexander Mkuut, ambaye ni Mfalme wa Macedonia.

Viungo vya nje

Turkey stub.png Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bitlis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.