Nenda kwa yaliyomo

Biskra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Baadhi ya maeneo ya mji wa Biskra, Algeria
Baadhi ya maeneo ya mji wa Biskra, Algeria

Biskra ni mji muhimu wa Algeria. Ndio wa tisa nchini kwa wingi wa wakazi.

Hao walihesabiwa kuwa 205,608 mwaka 2008[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "The provinces of Algeria and all cities of over 25,000 inhabitants". Citypopulation.de. Iliwekwa mnamo 2008-04-14.
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Biskra kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.