Bintou Toure
Mandhari
Bintou Touré ni mwanasiasa wa Guinea anayehudumu katika Bunge la Kitaifa la Guinea. Bintou ni mwanachama wa Chama cha Wachache cha Guinea cha Maendeleo na Ustawi (Guinean Party for Progress and Development), na pia ni Rais wa Kamati ya Afya–Vijana–Michezo–Sanaa na Utamaduni.[1][2]
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bintou Toure kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |