Nenda kwa yaliyomo

Bineta Diop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bineta Diop ni mhamasishaji wa haki za wanawake kutoka nchini Senegal.[1] Pia ndiye mwanzilishi wa Femmes Africa Solidarité, shirika lisilo la kibiashara lililoanzishwa kukuza haki za wanawake barani Afrika.

  1. "Bineta Diop". www.hks.harvard.edu (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-09-16.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bineta Diop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.