Binali Yıldırım

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Binali Yıldırım (amezaliwa 20 Desemba 1955) ni mwanasiasa wa Uturuki ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa 27 na wa mwisho wa Uturuki kutoka mwaka 2016 hadi 2018.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Binali Yıldırım kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.