Billy Balmer
Mandhari
Billy Balmer (29 Julai 1875 – Februari 1961) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza aliyekuwa akicheza kama beki wa kulia kwa klabu ya Everton, pamoja na timu ya taifa ya England.[1]
Ndugu yake, Bob Balmer, alicheza pamoja naye Everton, na mpwa wake alikuwa Jack Balmer.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ [(http://www.englandfootballonline.com/TeamPlyrsBios/PlayersB/BioBalmerW.html) "England Players – Billy Balmer"]. [www.englandfootballonline.com](http://www.englandfootballonline.com). Iliwekwa mnamo 7 Aprili 2019.
{{cite web}}: Check|url=value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Billy Balmer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |