Nenda kwa yaliyomo

Bill Snyder (mkufunzi wa wanyama)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William Snyder (31 Mei 1864 – 25 Aprili 1934) alikuwa mhifadhi mkuu wa wanyama katika Central Park Zoo, ambapo alianzisha mfumo wa kubadilishana wanyama kati ya bustani mbalimbali za wanyama.[1]

William Snyder alizaliwa tarehe 31 Mei 1864 katika Pine Plains, New York, Marekani. Alikuwa mwana wa Christopher Snyder na Eliza Millis.

Kabla ya kujiunga na bustani za wanyama, Snyder alikuwa mkufunzi wa tembo katika Ringling Bros. and Barnum & Bailey Circus.[2]

Mwaka 1903 alinunua tembo aitwaye Hattie kutoka kwa Carl Hagenbeck na kumfundisha kwa ajili ya Central Park Zoo.[3] Hattie alipewa jina hilo kwa heshima ya binti yake Snyder.[2][4]

Snyder alifariki tarehe 25 Aprili 1934 katika Pine Plains, New York.[5]

Alizikwa katika makaburi ya Rock City Cemetery yaliyopo Rhinebeck, New York.

Gazeti la The New York Times lilieleza kuwa Snyder alikuwa mmoja wa wahifadhi wa wanyama waliokuwa na uzoefu mkubwa zaidi katika kazi hiyo. Uzoefu wake wa kipekee katika kushughulika na wanyama na uchunguzi wake kuhusu tabia mbalimbali za wanyama ulimpatia umaarufu duniani kote.[6]

== Picha ==

  1. ↑ [(https://www.nytimes.com/1915/02/07/archives/swapping-beasts-keeps-zoo-stocked-city-does-not-give-bill-snyder.html) "City Does Not Give Bill Snyder Money to Buy Animals, So He Resorts to Trading"]. The New York Times. 7 Februari 1915. Iliwekwa mnamo 19 Septemba 2012. {{cite news}}: Check |url= value (help)
  2. 1 2 [(https://timesmachine.nytimes.com/timesmachine/1904/06/19/101167326.pdf) "Her Cleverness is a Revelation to Trainers. Why, She Understands English"]. The New York Times Magazine. 19 Juni 1904. Iliwekwa mnamo 24 Julai 2009. {{cite news}}: Check |url= value (help)
  3. ↑ [(https://query.nytimes.com/gst/abstract.html?res=9B04E7DA1439E333A25757C1A9629C946096D6CF) "Park Elephant's Prohibition Principles Overcome with the Aid of a Block and Tackle"]. The New York Times. 14 Aprili 1911. Iliwekwa mnamo 24 Julai 2009. {{cite news}}: Check |url= value (help)
  4. ↑ [(https://timesmachine.nytimes.com/timesmachine/1922/11/20/98785944.pdf) "Hattie, Central Park Elephant, Dies. News Hidden to Keep Sad Children Away"]. The New York Times. 20 Novemba 1922. Iliwekwa mnamo 25 Julai 2009. {{cite news}}: Check |url= value (help)
  5. ↑ [(https://www.nytimes.com/1934/04/26/archives/billsnyde-dead-zoo-keeperi-known-for-his-devoted-carei-for-animals.html) "Bill Snyder, Dead, Zoo Keeper"]. The New York Times. 26 Aprili 1934. Iliwekwa mnamo 19 Septemba 2012. {{cite news}}: Check |url= value (help)
  6. ↑ [(https://timesmachine.nytimes.com/timesmachine/1912/10/21/100553399.pdf) "Central Park Sheep Plays "Home Sweet Home" on a Mouth Organ and Beats Time with Its Tail"]. The New York Times. 21 Oktoba 1912. Iliwekwa mnamo 28 Julai 2009. {{cite news}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bill Snyder (mkufunzi wa wanyama) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.