Nenda kwa yaliyomo

Bill Bailey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bill Bailey

Mark Bill Bailey (alizaliwa 13 Januari 1965)[1] akijulikana kitaalam zaidi kama Bailey ni mwanamuziki, mchekeshaji na mwigizaji wa Uingereza. Anajulikana kwa jukumu lake kama Manny kwenye sitcom (Black Books, Never Mind the Buzzcocks na Have I Got News for You).[2] Pia kwa kazi yake ya ucheshi akiwa jukwaani. Anacheza ala mbalimbali za muziki na kuimba muziki katika maonyesho yake.[3]

  1. "Bill Bailey". screenonline.
  2. "The 50 funniest people in Britain (part one)", 7 December 2003. 
  3. Hogan, Michael (26 Desemba 2020). "Bill Bailey: 'I dreamed I was cha-cha-cha-ing between the stones at Stonehenge'". The Guardian. Iliwekwa mnamo 5 Oktoba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bill Bailey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.