Nenda kwa yaliyomo

Bilirubini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bilirubini ni dutu inayotokana na kumeng'enywa kwa hemoglobini. Iligunduliwa na Rudolf Virchow mwaka 1847.

Kiwango chake ni cha juu katika magonjwa fulani na husababisha rangi ya kahawia kwenye kinyesi na rangi ya njano kwenye jeraha. Mara nyingi hupimwa kufuatilia matatizo ya ini au kifuko cha nyongo.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bilirubini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.