Biladi, Biladi, Biladi
Biladi, Biladi, Biladi (Nchi yangu) (بلادي بلادي بلادي) ni wimbo wa taifa wa Misri tangu 1979.
Sauti na maneno vimetungwa Sayed Darwish (1892-1932).
Kiarabu cha Misri[hariri | hariri chanzo]
- Biladi biladi biladi laki hubbi wa fuadi
- Biladi biladi biladi laki hubbi wa fuadi
- Misr ya umm al bilad inti ghayati wal murad
- Wa 'ala kull il 'ibad kam lineelik min ayadi
Kiswahili[hariri | hariri chanzo]
- Nchi yangu, nchi yangu, nchi yangu, moyo wangu imejaa na upendo kwako.
- Nchi yangu, nchi yangu, nchi yangu, moyo wangu imejaa na upendo kwako.
- Ewe Misri mama wa nchi zote, ndiwe matumaini na hamu yangu
- Nani anaweza kutaja baraka zote za Nile yako kwa ajili ya ubinadamu?