Nenda kwa yaliyomo

Bicentennial Park South

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bicentennial Park South ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Sydney nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Rockdale Ilinden FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 6,000.[1]

  1. "Sun shines over Bicentennial Park". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-27. Iliwekwa mnamo 2025-02-06.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Bicentennial Park South kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.