Bibliotheca Sanctorum
Mandhari
Bibliotheca Sanctorum (au Enciclopedia dei Santi kwa Kiitalia) ni kamusi elezo iliyotungwa kuendana na Mtaguso wa pili wa Vatikano kwa ushirikiano na Istituto Giovanni XXIII ya Pontificia Università Lateranense.
Kazi yote ilifanywa na wataalamu 300 hivi kwa muda wa miaka 10 hivi. Toleo la kwanza lilikuwa na makala 30.000 kuhusu watakatifu, wenye heri, wastahili heshima, watumishi wa Mungu na watu wa Biblia wa Agano la Kale na Agano Jipya.
Imetolewa katika magombo 12 volumi, mbali ya nyongeza tatu na gombo la faharasa, tena magombo mawili kuhusu watakatifu wa Ukristo wa Mashariki[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bibliotheca Sanctorum kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |