Biblia ya Gutenberg
Mandhari
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |

Biblia ya Gutenberg ni Biblia ya kwanza, tena ni kitabu cha kwanza kabisa kuchapishwa. Ni toleo la Biblia ya Kikristo katika tafsiri ya Kilatini lililo maarufu kwa jina la Vulgata. Ilichapishwa na Johannes Gutenberg huko Mainz, Ujerumani, katika miaka ya 1450, ikiwa na nakala 158 au 180.
| Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Biblia ya Gutenberg kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |