Nenda kwa yaliyomo

Bibi Bakare-Yusuf

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bibi Bakare-Yusuf Hon. FRSL (alizaliwa 1970) ni mtaalamu wa masomo, mwandishi, na mhariri kutoka Lagos, Nigeria. Yeye ni mwekwa msingi wa kampuni ya uchapishaji Cassava Republic Press aliyoianzisha mwaka 2006, mjini Abuja pamoja na Jeremy Weate.[1]

  1. "Bibi Bakare-Yusuf". Archived 29 Septemba 2018 at the Wayback Machine, Aké Arts & Book Festival.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bibi Bakare-Yusuf kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.