Nenda kwa yaliyomo

Bibata Nebie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bibata Nebie ni mwanasiasa kutoka Burkina Faso. Yeye ni Waziri wa Sheria na Haki za Binadamu nchini Burkina Faso[1], akiteuliwa kushika wadhifa huo mwaka 2022 na rais wa wakati huo, Ibrahim Traoré.[2] [3]Muda wake wa kuhudumu ulianza tarehe 21 Oktoba 2022.

  1. KOACI. "Burkina Faso : Le gouvernement dissout le Haut conseil pour le dialogue social". KOACI (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2026-01-24.
  2. Burkina Faso junta says it foiled coup attempt (kwa Kiingereza (Uingereza)), 2023-09-28, iliwekwa mnamo 2026-01-24
  3. "Burkina Faso extends military rule by five years". www.bbc.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2024-05-26. Iliwekwa mnamo 2026-01-24.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bibata Nebie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.