Nenda kwa yaliyomo

BharatBenz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

BharatBenz ni chapa ya Daimler India Commercial Vehicles (DICV), kampuni tanzu ya Daimler Truck AG kutoka Ujerumani. Inajulikana kwa utengenezaji wa malori na mabasi, yenye makao yake Oragadam, Chennai, India. Neno "Bharat" linawakilisha India[1].

  1. "BharatBenz Trucks". Daimler Truck AG. Iliwekwa mnamo 2021-12-28.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu BharatBenz kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.