Nenda kwa yaliyomo

Beverly Osu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Beverly Osu

Amezaliwa Beverly Ada Mary Osu
27 Septemba 1992 (1992-09-27) (umri 32)
Lagos State, Nigeria
Kazi yake Muigizaji, mwanamitindo
Miaka ya kazi 2011 - hadi leo

Beverly Ada Mary Osu(alizaliwa septemba 27, 1992), ni mwanamitindo na muigizaji wa kike kutoka nchini Nigeria. [1]Alifahamika kwa uhusika wake katika filamu mbalimbali na jinsi alivyoshiriki katika shindano la Big Brother Africa. [2][3]Osu alishinda medali ya mwaka kwenye tuzo za Dynamix All Youth mnamo mwaka 2011. [4]

  1. Rapheal (2019-10-12). "99 percent of women fake orgasm – Beverly Osu". The Sun Nigeria (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-12-14.
  2. Chinasa, Hannah (2017-02-23). "Beverly Osu: Life and modelling career". Legit.ng - Nigeria news. (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-14. Iliwekwa mnamo 2019-12-14. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. RITA (2019-06-26). "Cosmetic surgery: Beverly Osu issues advice to ladies". Vanguard Allure (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-12-14.
  4. "Beverly Osu defends racy pictures in nun outfit, says 'I'm Catholic'website=TheCable Lifestyle" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-12-15.