Betelhem Dessie
Mandhari
Betelhem Dessie (alizaliwa mnamo 1999) ni msanidi wa mtandao na teknolojia ya simu kutoka nchini Ethiopia[1].
Ni Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa iCog – Anyone Can Code (ACC). Ana miradi minne yenye hati miliki anayomiliki peke yake, pamoja na mingine mitatu aliyoshirikiana na wengine.[1]
Pia Betelhem ametajwa kuwa kama mwanzilishi mwenye umri mdogo zaidi katika tasnia ya teknolojia inayoibukia kwa kasi ya Ethiopia" na CNN.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 "Betelhem Dessie: The 19-year-old tech genius behind Ethiopia's first AI lab". EthiopiaOnline (kwa American English). 2018-10-11. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-10. Iliwekwa mnamo 2018-10-23.
- ↑ Alice McCool; Thomas Lewton. "Meet the female tech genius coding at Ethiopia's first AI lab". CNN. Iliwekwa mnamo 2018-10-23.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Betelhem Dessie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |