Besart Berisha
Mandhari
Besart Berisha
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Albania, Kosovo |
Nchi anayoitumikia | Albania, Kosovo |
Jina katika lugha mama | Besart Berisha |
Jina halisi | Besart |
Jina la familia | Berisha |
Tarehe ya kuzaliwa | 29 Julai 1985 |
Mahali alipozaliwa | Prishtina |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kialbania |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Muda wa kazi | 2003 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 8 |
Ligi | Bundesliga, 2. Bundesliga |
Tovuti | http://www.besartberisha.com/ |
Besart Berisha (alizaliwa 29 Juni 1985) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Kosovo. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Albania na timu ya taifa ya Kosovo.
Berisha ameichezea timu ya taifa ya Albania tangu mwaka wa 2006. Berisha alicheza Albania na Kosovo katika mechi 17.[1]
Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Timu ya Taifa ya Albania | ||
---|---|---|
Mwaka | Mechi | Magoli |
2006 | 1 | 0 |
2007 | 5 | 0 |
2008 | 4 | 0 |
2009 | 6 | 0 |
Jumla | 16 | 0 |
Timu ya Taifa ya Kosovo | ||
Mwaka | Mechi | Magoli |
2017 | 1 | 0 |
Jumla | 1 | 0 |
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 Besart Berisha at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Besart Berisha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |