Bertille Marcos Guèdègbé
Mandhari
Bertille Marcos Guèdègbé ni mhandisi wa kilimo na mjasiriamali kutoka Benin. Ndiye Raisi wa Ushirika wa Wazalishaji mananasi, Wasafirishaji nje, na Wachakataji wa Benin.[1][2]
Mwaka 2014, alianzisha Mtandao wa Wasanii Wanawake wa Benin. Ndiye mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Fruits Tillou. [3][4][5] Ni msafirishaji wa nanasi na bidhaa zake kutoka Benin.[6] Ndiye mshauri msimamizi wa shamba katika mradi wa CAGEA. Alianzisha shirika lisilo la kiserikali la GERME. [7]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Success Stories - Benin - 50 Million African Women Speak". www.womenconnect.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-05-27. Iliwekwa mnamo 2021-04-01.
- ↑ "Benin's pineapple sector set to take off | Grow Africa". www.growafrica.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Desemba 18, 2018. Iliwekwa mnamo 2021-04-01.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unfit URL (link) - ↑ Le Cam, Morgane (2020-10-20). "Au Bénin, l'ananas bio et équitable protège les agriculteurs". Le Monde (kwa Kifaransa).
- ↑ Visages, Top (2022-03-06). "Tout au long de mars, Robert Brazza célèbre la femme". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-21. Iliwekwa mnamo 2025-07-11.
- ↑ "Au Bénin, l'ananas bio et équitable protège les agriculteurs". 2020-10-20.
- ↑ "LA TRANSFORMATION DE L'ANANAS, UN BUSINESS FLORISSANT". 2020-03-24.
- ↑ "Organisation des Nations Unies pour l'alimentation et l'agriculture: La FAO et le MAEP (BENIN)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-07-09. Iliwekwa mnamo 2025-07-11.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bertille Marcos Guèdègbé kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |