Bertila wa Maroeil
Mandhari

Bertila wa Maroeil (kwa Kifaransa: Bertile, Bertille; Ufaransa, karne ya 6 - Maroeil, 3 Januari 697) alikuwa mjane wa ukoo wa watawala ambaye alipofiwa na mume wake, aliwagawia maskini mali zake akaenda kuishi kama mkaapweke[1].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/99786
- ↑ M. l'abbé Migne, Encyclopédie théologique, 1856, page 497
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |