Bernd Uhl
Mandhari
Bernd Joachim Uhl (23 Novemba 1946 – 22 Januari 2023) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Ujerumani. Uhl alizaliwa nchini Ujerumani na alipata kuwa padre mwaka 1974. Alikuwa askofu wa jimbojina la Malliana na askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Freiburg, Ujerumani, kuanzia mwaka 2001 hadi alipojiuzulu mwaka 2018.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |