Bernat Erta Majo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bernat Majo

Bernat Erta Majo (alizaliwa Lleida, Hispania, Februari 15, 2001) ni mwanariadha wa Hispania aliyebobea kwenye mita 400 na mita 400 za kuruka viunzi. Alikuwa sehemu ya mbio za  kupeana vijiti ambapo anashikilia rekodi ya taifa ya mita 4x400 za ndani.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Service., European Commission. Community Research and Development Information (2007). Research EU : the magazine of the european research area : results supplement. Office for Official Publications of the European Communities. OCLC 450160344. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bernat Erta Majo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.