Nenda kwa yaliyomo

Bernardus Johannes Alfrink

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bernardus Johannes Alfrink (5 Julai 190017 Desemba 1987) alikuwa Kardinali wa Uholanzi wa Kanisa Katoliki.

Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Utrecht kuanzia mwaka 1955 hadi 1975, na alipandishwa hadhi kuwa kardinali mwaka 1960.[1]

  1. "What Went Wrong With Vatican II". Ewtn.com. Iliwekwa mnamo 30 Juni 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.