Bernardo Filipe Governo
Mandhari
Bernardo Filipe Governo, OFMCap (20 Januari 1939 − 20 Oktoba 2013) alikuwa mtawa wa Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Msumbiji na askofu katika Kanisa Katoliki.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |