Nenda kwa yaliyomo

Bernard de Winter

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bernard de Winter (31 Julai 19248 Mei 2017, Pretoria) alikuwa mtaalamu wa mimea wa Afrika Kusini ambaye kuanzia mwaka 1973 alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mimea, ambayo baadaye ilikuja kuwa Taasisi ya Kitaifa ya Mimea na kisha Taasisi ya Kitaifa ya Bioanuwai ya Afrika Kusini (SANBI). [1]

  1. "Pretoria National Botanical Garden". Gauteng Tourism Authority. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Desemba 2015. Iliwekwa mnamo 25 Aprili 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bernard de Winter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.