Nenda kwa yaliyomo

Bernard Wilhelm Lapian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bernard Wilhelm "B. W." Lapian (30 Juni 1892 – 5 Aprili 1977) alikuwa mzalendo wa Indonesia aliyeshiriki katika harakati za kupigania uhuru wa Indonesia. Alichapisha magazeti kadhaa yaliyolenga kuangazia ustawi wa wananchi wa Indonesia na kukuza uzalendo wa Kiindonesia.[1]

  1. Parlina, Ina (6 Novemba 2015). [(http://www.thejakartapost.com/news/2015/11/06/five-named-national-heroes.html) "Five Named as National Heroes"]. The Jakarta Post. Jakarta. Iliwekwa mnamo 23 Disemba 2016. {{cite news}}: Check |url= value (help); Check date values in: |access-date= (help)