Bernard Panafieu
Mandhari
Bernard Louis Auguste Paul Panafieu (26 Januari 1931 – 12 Novemba 2017) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa. Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Marseille kuanzia 1995 hadi kustaafu kwake mwaka 2006 huko Venasque.
Papa Yohane Paulo II alimteua kuwa kardinali mwaka 2003.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Panafieu Catd. Bernard". Holy See Press Office. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Septemba 2017. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2017.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |