Bernard Goumou
Mandhari
Bernard Goumou (amezaliwa tarehe 8 Septemba 1980) ni mwanasiasa wa Guinea ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Guinea. Aliteuliwa kushika wadhifa huo baada ya Waziri Mkuu wa mpito Mohamed Béavogui kutopatikana kutokana na sababu za kiafya.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Guinée : Bernard Goumou confirmé à la tête du gouvernement". JeuneAfrique.com (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2026-05-08.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bernard Goumou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |