Nenda kwa yaliyomo

Bernard Francis Law

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Kardinali Bernard Law, yenye kauli mbiu yake "Kuishi ni Kristo", mbele ya Santa Susanna.

Bernard Francis Cardinal Law (4 Novemba 193120 Desemba 2017) alikuwa kiongozi wa ngazi ya juu wa Kanisa Katoliki, maarufu hasa kwa kuficha vitendo vya ubakaji wa watoto na mapadri wa Kanisa Katoliki.

Alikuwa Askofu Mkuu wa Boston, Mshereheshaji Mkuu wa Basilica di Santa Maria Maggiore, na Kardinali Paroko wa Santa Susanna, ambayo ilikuwa parokia ya Wamarekani huko Roma hadi 2017, wakati jumuiya ya Wamarekani ilihamishiwa San Patrizio.[1][2]

  1. Paulson, Michael (Desemba 14, 2002). "A church seeks healing". Boston Globe.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. (in it) Rinuncia dell'Arcivescovo di Boston (U.S.A.) (Press release). The Vatican. December 13, 2002. http://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2002/12/13/0620/01982.html. Retrieved December 21, 2017.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.