Nenda kwa yaliyomo

Bernard Bober

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bernard Bober (alizaliwa 3 Novemba 1950) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki la Slovakia. Yeye ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Košice, mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Slovakia, na Kansela Mkuu wa Chuo Kikuu cha Katoliki kilichoko Ružomberok.

    Makala hii bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.