Bernard Ackah
Mandhari
Bernard Ackah (amezaliwa 9 Aprili 1972) ni mtaalamu wa taekwondo, mpiganaji wa kickboxing, mpiganaji wa mixed martial arts na mchekeshaji kutoka Ujerumani.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Historia ya sanaa za mapigano
[hariri | hariri chanzo]Ackah alizaliwa mjini Bonn, Ujerumani akiwa na wazazi kutoka Ivory Coast, na alihamia Japani akiwa na umri wa miaka miwili. Alifanya mazoezi ya judo wakati wa masomo yake ya shule ya sekondari ya chini na ya juu.
Mwaka 1998, alikwenda South Korea ambako aliishi kwa miaka mitatu akijifunza taekwondo katika chuo maarufu cha Yonsei University.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ [(http://www.jica.go.jp/story/interview/interview_45.html)[dead link]JICA's interview](in Japanese) - Japan International Cooperation Agency