Nenda kwa yaliyomo

Berla Mundi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Berlinda Addardey (anajulikana zaidi kama Berla Mundi; amezaliwa 1 Aprili 1988 katika Greater Accra Region ya Ghana) ni mhusika wa vyombo vya habari , mtetezi wa haki za wanawake na msanii wa sautikutoka Ghana. Ni mtoto wa Mama Ruby Mundi wa Accra.[1][2][3]

Mwaka 2019, alishiriki kuongoza hafla ya VGMA ya 20 pamoja na Kwami Sefa Kayi.[4] Ameongoza hafla za VGMA kwa mara sita mfululizo.[5]

  1. [(https://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/entertainment/All-you-need-to-know-about-presenter-Berla-Mundi-536734) "All you need to know about presenter Berla Mundi"]. GhanaWeb (kwa Kiingereza). 11 Mei 2017. Iliwekwa mnamo 2019-05-14. {{cite web}}: Check |url= value (help)
  2. Online, Peace FM. [(https://web.archive.org/web/20190506164932/http://www.peacefmonline.com/pages/showbiz/news/201707/319985.php) "Berla Mundi Launches 'B.You' Project To Empower Young Ladies (Photos)"]. peacefmonline. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [(http://www.peacefmonline.com/pages/showbiz/news/201707/319985.php) chanzo] mnamo 2019-05-06. Iliwekwa mnamo 2019-05-06. {{cite web}}: Check |archive-url= value (help); Check |url= value (help)
  3. [(https://www.ghanaweb.com/person/Berla-Mundi-3499) "Berla Mundi, Biography"]. [www.ghanaweb.com](http://www.ghanaweb.com). Iliwekwa mnamo 2024-04-04. {{cite web}}: Check |url= value (help)
  4. Ghansah, Emmanuel; Music, Ghana (2019-05-18). ["Meet) the hosts of the 2019 VGMA: Kwame Sefa Kayi, Berla Mundi, Giovanni & Sika". Ghana Music (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2019-05-21. {{cite web}}: Check |url= value (help)
  5. ["Berla) Mundi – Ghana Web". ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 28 Novemba 2024. {{cite web}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Berla Mundi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.