Benoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Benoni (Akfrika Kusini))
Mji wa Benoni


Jiji la Benoni
Jiji la Benoni is located in Afrika Kusini
Jiji la Benoni
Jiji la Benoni

Mahali pa mji wa Benoni katika Afrika Kusini

Majiranukta: 26°9′0″S 28°19′48″E / 26.15000°S 28.33000°E / -26.15000; 28.33000
Nchi Afrika Kusini
Majimbo Gauteng
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 654,509

Benoni ni mji wa Afrika Kusini katika jimbo la Gauteng. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao 655,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 1645 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Benoni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: