Nenda kwa yaliyomo

Benoît-Marie Langénieux

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Benoît-Marie Langénieux (15 Oktoba 1824 huko Villefranche-sur-Saône, Rhône1 Januari 1905 huko Reims) alikuwa Askofu Mkuu wa Reims na Kardinali wa Kanisa Katoliki.[1]

Benoît-Marie Langénieux na William Ewart Lockhart.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.