Benki ya Afrika Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Benki ya Afrika Tanzania
Makao MakuuBamako, Mali
Total equityincrease 746 million (2016)
Owner(s)BMCE Bank (74.98 %)
Tovutibank-of-africa.net

Bank of Africa Group (kifupi: BOA), pia inajulikana kama Benki ya Afrika, ni benki ya kimataifa, mtoaji mkubwa wa huduma za kifedha katika nchi kumi na nane za Afrika Kusini kwa Sahara.

Benki ya Afrika inadumisha makao makuu yake Bamako, mji mkuu wa Mali[1].

Mnamo Desemba 2016, mali yote ya kundi ilikuwa yenye thamani ya € 7.8 bilioni (dola bilioni 7.9 za Marekani) [1] Mbali na benki zake kumi na nne za biashara, kundi hiclo pia linajumuisha kampuni ya fedha, benki ya nyumba, kampuni ya kukodisha, kampuni moja ya udalali na kampuni mbili za uwekezaji, na pia kampuni ya usimamizi na ofisi ya mwakilishi katika Paris, Ufaransa. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 BOAf (13 October 2015). Bank of Africa growing its network with a new subsidiary in Rwanda. Bank of Africa Group (BOAf). Iliwekwa mnamo 17 March 2016.
ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki ya Afrika Tanzania kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.