Benki ya ABC

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Benki ya ABC
Makao MakuuGaborone, Botswana

Benki ya ABC (BancABC) inayojulikana kwa jina rasmi kama ABC Holdings Limited, ni mtoa huduma wa kifedha wa Afrika, makao makuu yakiwa Gaborone, Botswana.[1]

Ni mtoa huduma wa kifedha katika Afrika ya Kusini na Afrika ya Mashariki. Mnamo Desemba 2015, rasilimali za kikundi za benki zilikuwa na thamani ya dola za Kimarekani $1,810,000,000, na usawa wa wanahisa thamani ya Marekani $115,750,000.[2] BancABC ina matawi katika nchi kama Botswana, Mozambique, Tanzania, Zambia, na Zimbabwe.[3] ikiwa na mipango ya kuongeza nchi kama Angola, South Sudan, and Uganda.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. ABCHL, .. ABC Holdings Limited Company Profile (PDF). ABC Holdings Limited (ABCHL). Iliwekwa mnamo 11 December 2014.
  2. BancABC (15 April 2016). 31 December 2015 Annual Report & Audited Financial Statement. BancABC Group. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-02-26. Iliwekwa mnamo 11 October 2014.
  3. Zimbabwe Independent (28 March 2013). BancABC Profits Up. Iliwekwa mnamo 11 December 2014.
  4. Financial Gazette Reporter, . (30 March 2012). Zimbabwe: BancABC Targets Angola, Uganda, South Sudan. The Financial Gazette (Harare) via AllAfrica.com. Iliwekwa mnamo 11 December 2014.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki ya ABC kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.