Benjamin Marc Ramaroson
Mandhari
Benjamin Marc Balthason Ramaroson, C.M. (alizaliwa 25 Aprili 1955 huko Manakara) ni Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Kanisa Katoliki la Antsiranana, Madagaska.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Named for Farafangana, Madagascar". 27 Novemba 2013.
- ↑ "Confrere named Archbishop - Congregation of the Mission". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-09-30. Iliwekwa mnamo 2014-08-18.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |