Benjamin Henrichs
Mandhari

Benjamin Paa Kwesi Henrichs (aliyezaliwa 23 Februari 1997) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu wa Ujerumani anayocheza katika nafasi ya beki wa pembeni au kiungo.
Anachezea klabu ya RB Leipzig ya Bundesliga pamoja na timu ya taifa ya Ujerumani. (Bundesliga)
Maisha ya Klabu
[hariri | hariri chanzo]Bayer Leverkusen
[hariri | hariri chanzo]Henrichs ni mhitimu wa akademi ya vijana ya Bayer Leverkusen, ambayo alijiunga nayo akiwa na umri wa miaka saba.
Akiwa katika timu ya chini ya miaka 19, Henrichs aliwahi kuwa nahodha wa timu.
Heshima na Mafanikio
[hariri | hariri chanzo]RB Leipzig
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://datencenter.dfb.de/en/data-center/people/benjamin-henrichs/player
- ↑ https://rbleipzig.com/en/teams/mens/benjamin-henrichs
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Benjamin Henrichs kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |