Nenda kwa yaliyomo

Benjamin Green Freeman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu "Benjamin Green Freeman" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

Benjamin Green Freeman alikuwa mwanasiasa wa Liberia. Aliwahi kuwa balozi wa Liberia katika nchi za Senegal, Zaire na Côte d'Ivoire. Pia alikuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Liberia kuanzia mwaka 1943 hadi 1951.

    Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Benjamin Green Freeman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.