Nenda kwa yaliyomo

Benjamin Almoneda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Benjamin Almoneda (11 Aprili 19306 Januari 2023) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Ufilipino. Alikuwa askofu msaidizi wa Dayosisi ya Daet kutoka 1990 hadi 1991 na kisha akahudumu kama askofu wa dayosisi hiyo kutoka 1991 hadi 2007.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.