Nenda kwa yaliyomo

Benjamin Šeško

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Martin Zubimendi
Benjamin Šeško

Benjamin Šeško (alizaliwa 31 Mei 2003)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Slovenia ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) na timu ya taifa ya Slovenia.[2]

  1. ↑ UEFA.com. "Benjamin Šeško | Slovenia | UEFA Nations League". UEFA.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-08-11.
  2. ↑ "Summary - Benjamin Sesko - Results, fixtures, squad, statistics, photos, videos - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2025-08-11.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benjamin Šeško kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.