Benedictus Son Hee-song
Mandhari
Benedictus Son Hee-song (alizaliwa 28 Januari 1957) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Korea Kusini.
Kuanzia Machi 2024, anahudumu kama Askofu wa Uijeongbu.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Heo Jin-moo (2024-03-13). "교황, 제3대 의정부교구장에 손희송 주교 임명" (kwa korean). Kyunghyang Shinmun. Iliwekwa mnamo 2024-03-30.
{{cite news}}
: CS1 maint: unrecognized language (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |