Nenda kwa yaliyomo

Benedict D. Coscia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Benedict D. Coscia, O.F.M. (Brooklyn, Marekani, 10 Agosti 1922 - Brazil, 30 Aprili 2008) alikuwa mtawa Mkatoliki wa Shirika la Ndugu Wadogo na Askofu mmisionari wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani.[1]

  1. Hall, Barnabas, FSP, Sister (Mei 5, 2008). "Bishop Benedict D. Coscia, O.F.M." Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-11-13. Iliwekwa mnamo 2024-11-13. {{cite journal}}: Cite journal requires |journal= (help)CS1 maint: multiple names: authors list (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.