Benedetto Paconati
Mandhari
Benedetto Paconati (alifariki 1445) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki aliyewahi kuwa Askofu wa Bagnoregio (1438–1445) na Askofu wa Ario (1434–1438). [1]
Mnamo 22 Septemba 1434, aliteuliwa na Papa Eugenio IV kuwa Askofu wa Ario. Kisha, mnamo 10 Januari 1438, aliteuliwa na Papa huyo huyo kuwa Askofu wa Bagnoregio, ambako alihudumu hadi kifo chake mwaka 1445.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Eubel, Konrad (1914). Hierarchia catholica medii et recentioris aevi. Juz. la II (tol. la second). Münster: Libreria Regensbergiana. ku. 94 and 101. (in Latin)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |