Belindé Schreuder
Mandhari
Belindé Schreuder (alizaliwa 1997) ni mshiriki wa mashindano ya urembo kutoka Afrika Kusini aliyepewa taji la Miss South Africa International 2024 na kumuwakilisha nchi yake katika Miss International 2024, iliyofanyika Japan mnamo 12 Novemba 2024.
Awali, alishiriki na kushinda majimbo ya Miss Earth South Africa 2023 na Miss Grand South Africa 2019.[1][2][3]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "More than just a beauty queen". iol.
- ↑ "Former Miss Supranational SA Belindé Schreuder to represent the country at Miss Earth 2023". News24.
- ↑ "More than just a beauty queen, Miss International South Africa, Belindé Schreuder, is empowering young women". joburgstyle. 10 Agosti 2024. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-03-29. Iliwekwa mnamo 2025-12-22.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Belindé Schreuder kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |