Nenda kwa yaliyomo

Behxhet Nepravishta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Behxhet Nepravishta (1867–1916) alikuwa mwanasiasa wa Albania alihudumia Dola la Osmani (Ottoman Empire) mwishoni mwa karne ya 19 na dola jipya lililoanzishwa la Albania mwanzoni mwa karne ya 20. Alizaliwa katika kijiji cha Nepravishtë karibu na Libohovë mnamo mwaka 1867. Kwanza alikuwa mwalimu katika shule za Kiislamu za Thessaloniki, Ioannina, na Hama. Baadaye aliteuliwa kuwa Kaymakam (mkuu wa wilaya) huko Yemen, Alasonia, na magharibi mwa Anatolia.[1]

  1. Özdalga, Elisabeth (2005). Late Ottoman society: the intellectual legacy. Routledger. uk. 298. ISBN 0-415-34164-7.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Behxhet Nepravishta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.