Becky Hobbs
Mandhari
Becky Hobbs (alizaliwa 24 Januari, 1950)[1] ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na mpigaji kinanda wa muziki wa country kutoka Marekani.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Colin Larkin, mhr. (1993). The Guinness Who's Who of Country Music (tol. la First). Guinness Publishing. uk. 191. ISBN 0-85112-726-6.
- ↑ Brennan, Sanda; Michael McCall. "Becky Hobbs biography". AllMusic. Iliwekwa mnamo Mei 24, 2008.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Becky Hobbs kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |