Nenda kwa yaliyomo

Bechara Boutros al-Rahi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Béchara Boutros Al-Rahï OMM (au Raï; alizaliwa 25 Februari 1940) ni Patriarki wa 77 wa Wamaroni wa Antiochia, na mkuu wa Kanisa la Wamaroni, nafasi aliyoshika tangu tarehe 15 Machi 2011, akimrithi Patriaki Nasrallah Boutros Sfeir.

Rahi aliteuliwa kuwa kardinali tarehe 24 Novemba 2012 na Papa Benedikto XVI.[1]

  1. Fahd, Butros (1974). Arciescovo Pietro Sfair grande orientalista e predicatore, vita e opere [Archbishop Pietro Sfair great orientalist and preacher, life and work] (kwa Italian). Rome: Matabi al-Karim al-Hadithath. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-01-18. Iliwekwa mnamo 2025-01-16.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.